Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
Ufafanuzi Mbona kwenye meal & acomodation kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .inamaana kuna wanafunzi wana matumizi makubwa zaidi ya wengine?? Na wametumia kipimo gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufafanuzi Mbona kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .
Ufafanuzi Mbona kwenye meal & acomodation kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .inamaana kuna wanafunzi wana matumizi makubwa zaidi ya wengine?? Na wametumia kipimo gan?
Na unawezaje kujua kwamba hii ni asilimia ngapi?
chukua pesa ambayo serkal imekukopesha /tuition fee ambayo unatakiwa kulipa X(mara) 100%=____%