Meals & acomodation. . .

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
Ufafanuzi Mbona kwenye meal & acomodation kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .inamaana kuna wanafunzi wana matumizi makubwa zaidi ya wengine?? Na wametumia kipimo gan?
 
Tatzo nn hapo xaxa,huo uzi jarbu kufanyia malekebisho ndo urudi kimpango
 
Jaribu kuangalia huyo mwenye tofauti ni chuo gani na coz gani. Kwanza inawezekana chuo chake wanakaa siku nyingi kuliko chako, inawezekana coz yake wanakaa siku nyingi kuliko coz yako (mfano Udom MD, Nursing) wanakaa siku 287 tofaut na coz zingine wanaokaa siku 245. Pia inawezekana gharama za accomodation ni tofauti.
 
Ufafanuzi Mbona kwenye meal & acomodation kuna walìoekewa 2.3 million wakati wengine 1.8 million. . .inamaana kuna wanafunzi wana matumizi makubwa zaidi ya wengine?? Na wametumia kipimo gan?

Gharama zinatofautiana location moja hadi nyingine,mfano Dar ni tofauti na Bukoba
 
Na unawezaje kujua kwamba hii ni asilimia ngapi?
 
hivi hizo hela unawekewa zote katika account yako au ? na naskia zinakua zinawekwa kwa awamu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…