Means testing Inamaana gani?

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Kwema wadau?
Jamani mimi nlikuwa napitia web ya heslb kuangalia sifa za waombaji wa mkopo nikakutana na hayo maneno. Kwamba muombaji atafanyiwa "means testing" sikuelewa hembu nisaidieni wanachomaanishakwa kuwa nataka kuomba mwaka huu.
 
yan ni kitendo cha kupimwa hali yako ya kifedha ivi wajue kama uko unastahili kupata msaada au la
 
Ni mfumo wa kuzingatia vigezo ili kujua watoe asilimia ngapi ya tuition fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…