msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
As per the Tanzania Human Development Report 2014;
1. Only 14% of adults in Tanzania have reached secondary school, and just 2.3% have a university education!
2. 67% of households in Tanzania live in dwellings with floors made of earth, sand or COW DUNG!
Kwa mwendo huu tutafika jamani?
On the bright side, mikoa mitatu ya Tanzania (Dar, Arusha na Kilimanjaro) ni 'middle income' regions. Mikoa inayoongoza kwa umasikini ni Kigoma, Singida, Dodoma, Kagera, Tabora, Shinyanga (despite the fact that mkoa huu uko kwenye top ten katika kuchangia zaidi pato la taifa) na Pwani.
God bless Tanzania......all hope is not lost!