teamasala JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 615 Reaction score 633 Sep 8, 2020 #1 Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate.
Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate.
teamasala JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 615 Reaction score 633 Sep 8, 2020 Thread starter #2 Namaanisha kikombe kimoja cha kupimia uni sawa na gram ngapi labda za unga au sukari. teamasala said: Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate Click to expand...
Namaanisha kikombe kimoja cha kupimia uni sawa na gram ngapi labda za unga au sukari. teamasala said: Jamani naomba msaada kwemye kuconvert measuring cups into grams wakati wa utengenezajo wa keki au mkate Click to expand...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Sep 10, 2020 #3 Njia rahisi nunua blueband kisha tumia makopo yake kupimia kuna cha 100g 250g au 500g etc.
Clarity JF-Expert Member Joined Jul 6, 2010 Posts 1,828 Reaction score 2,637 Nov 25, 2020 #4 Kwa hisani ya google