Meat pie..

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

1) Nyama ya kusaga 1/2 kg
2) Kitunguu thomu 1 teaspoon
3) Tangawizi 1 teaspoon.
4) Bizari ya pilau 1 teaspoon
5) Curry powder 1 teaspoon
6) Pilipili manga..1 teaspoon
7) Chumvi kiasi
8) Karot 2....kata ndogo ndogo
9) Viazi 2.....kata vidogo vidogo kama carrot
10)Unga vikombe 4
11) Baking powder 1 tablespoon
12) Siagi 8 tablespoon
13) Mafuta 3 tablespoon
14) Kitunguu maji....kata ndogo ndogi
15) Pilipili mboga 1...kata ndogo ndogo
16) Mayai 2

Namna ya kutaarisha

1) Weka mafuta yakipata moto weka kitunguu maji ,saumu na tangawizi pamoja na nyama....koroga kwa dakika 5
2) Weka pilipili manga,curry powder,chumvi na bizari ya pilau..koroga vizuri vichanganyike
3) Weka maji kikombe 1.5...
4) Weka karot, pilipili mboga na viazi..acha vichemke hadi nyama ikauke....weka pembeni
5) Changanya unga pamoja na chumvi kiasi,baking powder,siagi na maji kidogo kama unavofanya chapati...
6) Kanda unga kwa dakika 5-10 ili ulainike.
7) Tengeneza viduara vidogo vidogo..
8) Sukuma viduara kama chapati then chukua bakuli na kata ili utengeze duara...
9) Weka nyama juu yake...
10) Pakaa mayai kwenye kona na ufunge meat pie yako...na chukua uma uchome chome pembeni
11) Fanya hivo hadi kumaliza...pakaa mayai juu yake kwa kutumia brush
12) Weka kwenye oven 300Β° hadi ziwe light brown

Meat pie tayari kwa kuliwa...
 
Waweza kula meat pie na kinywaji upendacho...πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 

Attachments

  • 1386079966427.jpg
    29.9 KB · Views: 394
  • 1386079978394.jpg
    28.3 KB · Views: 472
yummmmmyyyyyy thanx luv
 
thanx kwa kutupendea sana . inavutia sana, ila nnaswali moja, hivi unga hatuutii chumvi kabisa? kisha nnaombi moja, tuekee meatcake recipe yake. siku njema
 
thanx kwa kutupendea sana . inavutia sana, ila nnaswali moja, hivi unga hatuutii chumvi kabisa? kisha nnaombi moja, tuekee meatcake recipe yake. siku njema

Unga unaweka chumvi kdg....
Ntaweka recipe ya meatcake inshallah..
 

niceeeee....yummmmmyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…