Meat & poultry product bussiness

Meat & poultry product bussiness

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
156
Wadau, habari za siku nyingi?
Naomba msaada wenu.
Nina idea ya kuanzisha hiyo bussiness
Nataka niwafuge mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku (wa nyama wa kienyeji na kisasa), kuku wa mayai, bata wa kawaida, bata mzinga n.k. Nyama ya ng'ombe nitakuwa nanunua machinjioni nyingine itakuwa inatokana na ng'ombe kadhaa nilioweka stock n,k
MARKET: Is not a problem.

Naomba mnsisaidie kujua nifanyeje? Kwa sababu nahitaji niwe na:
At least:
(1)One pick up (hivi vi-SUZUKI vya wajapani vinatosha)g
(2)Gari moja ya kuweza kubeba uzito kuanzia tani 3-5 (vile vinavyoweza kubeba nyama, matunda, mbogamboga n.k - vyenye jokofu ndani yake).
(2)Container mbili zenye majokofu ambazo nitakuwa nahifadhia nyama na mbogamboga at a place of production and marketplace (hizi container inatakiwa ziwe na source ya umeme isiyozingua i.e solar au fuel generated)

Mnanishauri nifanye mambo gani mengine, vitu kama hivyo naweza kuvipata wapi au ni nani atanisaidia ku-design na namna ya kuanza ili ni-implement hii plan?
Thanks.
 
CHE GUEVARA-II

umerudi na wazo zuri sana la biashara

unahitaji bain marie (cold display case, vacuum sealing machine kwa ajili ya ku-pack bidhaa za nyama

pia unaweza ukauza nyama pori (game meat)
 
CHE GUEVARA-II

umerudi na wazo zuri sana la biashara

unahitaji bain marie (cold display case, vacuum sealing machine kwa ajili ya ku-pack bidhaa za nyama

pia unaweza ukauza nyama pori (game meat)

Asante LAT (bain marie nd'o naweza kupata wapi? Huko zinapouzwa pia naamini wanaweza kutoa ushauri mwingine mwingi zaidi)
Nahitaji pia vifaa na mashine za kufanyia meat processing hadi packing (aina zote za nyama).
Asante!
 
Back
Top Bottom