Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Endelea kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa kama unadhani unamsaidia. Kaka P kwenye hili hata propaganda aliyojaribu haikufanya kazi. Lakini you are birds of the same feathers flock or fly.........
 
Ukiuliza wafuasi wa Lissu ni kipi kitamfanya Lissu ashinde, watakwambia Lissu ni jasiri sana.

Yani tz kumbe ukiwa jasiri tayari wewe ni Rais
Kwani wewe ukiulizwa kwanini magufuli ashinde utasema nini?
Utakubali kusema kua aliwahi kuiba matrilioni kamfukuza na CAG wetu?
Unaweza kusema kama ni muuaji alitaka kumuua huyo jasiri bila faida atakayopata?
Je utakubali kesemakua amekataa kuajiri watoto wetu wamekaa nyumbani bila matumaini?
Je utakubali kusema kua kapoteza akina ben saanane wazazi wao wanalia bila mafanikio.
Ki ujumla itakubali kusema kama magufuli ni mropokaji asie jua mipangilio ya maneno?mtekaji muuaji mishahara ya wafanyakazi kajenga uwanja wa ndege chato?
 
Ni kupitia makala kama hizi ulipokea lawama kuwa umemchoma Kabendera, tena walewale waliofurahia Magufuli kuchambwa kwenye makala zile ndio hao waliokugeuka na kukuponda.

Angalia na hii wanakuunga mkono kwa mbwembwe nyingi kwenye uchambuzi wako, siku ikibainika mwandishi yupo upande wao lawama zinakuja kwako kuwa umemchoma na makala zako za ufafanuzi.

Binafsi nafurahishwa Sana na makala za aina hii maana naona taswira ya nchi yetu inavyochambuliwa huko nje.

Na hizi makama huwa zinakuwa na Nguvu Sana maana husambazwa kwa Vyombo vingi vya habari Dunia na kuonekana ndio uhalisia wa nchi husika.
 
Ukimwangalia Paschal, Bashiru, Polepole na Kitila Mkumbo unajua elimu yetu inaandaa makanjanja kabisa hutamani tena hata kusoma maana ni aibu kuwa na wasomi kama hawa niliowataja.
 
Uko sahihi mkuu
 
Kwani msemaji wa serikali (Dr Abass) sio afisa wa Ikulu?

Mayalla unaposema "kwanini mwandishi aliitafuta Ikulu wakati alitakiwa kumtafuta msemaji wa serikali" nashindwa kupata unachokitetea hapa!!

Ikiwa (jibu lako ni ndio) msemaji ni mtu wa Ikulu, una uhakika gani kama aliyetafutwa sio Dr Abass??
 
Mayalla umekuwaje tena?Mnna hizi siyo zile akili zako?Umempa nani akili zako?
 
Beberu ndio nani?
 
Watanzania huwa na subri. Waanze wataona majeshi ya akiba yatakavyotokea. Waulize nduli wa Uganda au M21. Waje hao
 
Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi?
 
Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi?
Uchaguzi wa 2020 mbona mimi niliisha uzungumza vizuri kabisa hapa, ama unataka nirudie kuongea?.
 P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…