Mebeberu wana malengo na Tanzania? Waanza uzushi wa fujo baada ya JPM, CCM Kushinda. Wamzushia Magufuli ni dikteta. Kwanini tunanyamaza?

Ccm ni Wajinga Sana. Kuua watu muue nyie,kuteka watu mteke nyie, kupiga risasi watu Mpige nyie,kubambikia watu makesi mbambikie nyie, kuharibu uchaguzi kwa kupitiaha watu bila kupingwa mfanye nyie na figisu cha uchaguzi zote mfanye nyie alafu mwisho nyie ndo mlalamike eti mabeberu hawawapendi!!! Wajinga kabisa nyie
 

Kaka Pasckal hadi sasa hali site ni ngumu sana ....na kwa umuhimu , kuna options zifuatazo kwa urasi wa Muungano....

1. Kutakua hakuna mshindi wa dhahiri kati ya CCM na Chadema hiii itasababisha uwezekano wa Serikali ya MSETO ya Muungano na Upande wa Zanzibar ....mseto wa CCM na ACT .

2. CCM kushinda Bara kwa taabu , na ACT Kushinda ZANZIBAR

3.Chadema Kushinda Muungano na ACT Kushinda Zanzibar

4. CCM Kushinda Muungano na Zanzibar

Hadi sasa tujiandae Kisaikolojia .
 
Unataka tuongee nini? Mtetee peke yako unaekula posho zake.
 
Eti " na nina uwezo wa uchambuzi"
Kusema ukweli umenichekesha sana!
 
Mwambie Meko (Ngosha mwenzio) aache uongo. Hivi tangu lini kitambulisho cha mjasiriamali ukakitumia kuombea mkopo benki?

Watanzania wa sasa sio washamba kama wale wa karne ya 19.
Benki zipi kwanza! Wakati hela zote kachukua.
 
Watanzania wenye akili timamu hatuwezi kumpa kura huyo mhuni na dhalimu anayejiita MWENDAWAZIMU. Ni mazwazwa tu kama wewe!
Watanzania hawawezi mpa kura punguani wa chama cha Mbowe. Huyu kibaraka, wakala wa beberu hana chochote cha kuwasaidia watanzania. Mungu tuepushe na hili balaa la saccos, watauza watanzania hawa pamoja na rasilimali zetu.
 
Ila P sikuhizi umekua na akili fupi, sijui umekula maharage ya wapi
 
Kusaka TEUZI kunampeleka puta kujitoa ufahamu ili Kichaa amuone ampe teuzi. Mfukoni mia hana! Chezeya uchumi wa kati wa huyo anayejiita KICHAA.
Ila P sikuhizi umekua na akili fupi, sijui umekula maharage ya wapi
 
Ukiuliza wafuasi wa Lissu ni kipi kitamfanya Lissu ashinde, watakwambia Lissu ni jasiri sana.

Yani tz kumbe ukiwa jasiri tayari wewe ni Rais
Sio sajisiri tu .....ni jasiri mwenye akiliii za kutosha
 
Mayalla maana yake njaa, "by President Magufuli"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…