NEDCO bado ipo inafanya kazi za kihandisi, ila nadhani si shirika la umma kabisa.Kama kweli imekufa, basi ni sikitiko kubwa sana, kwani hii ilikuwa ni kampuni ya wazalendo kabisa na iliyokuwa makini sana na kazi zake.
What about NEDCO? Na yenyeqwe ilikufa ama?