Mashabiki makini wa Simba SC Mnyama tutakuwa hapa Live Jamiiforums. Mashabiki wa Simba dunia nzima wameendelea na vibe la Simba Day kona zote duniani,huku mashabiki wa Dar Es Salaam wakiendelea kumininika Uwanja wa Mkapa. Simba tutatambulisha kikosi hatari na benchi la ufundi katika msimu wa...