44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,158 Reaction score 2,186 Jan 1, 2022 #1 Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jan 1, 2022 #2 Saa moja kamili usiku
Song of Solomon JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 2,752 Reaction score 5,609 Jan 1, 2022 #3 44mg44 said: Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun Click to expand... Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia
44mg44 said: Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun Click to expand... Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia
Yakuza Mobb Member Joined Dec 27, 2021 Posts 57 Reaction score 117 Jan 1, 2022 #4 Song of Solomon said: Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia Click to expand... Ushazoea kukalia chupa
Song of Solomon said: Ishaisha kitambo mbumbumbu wameukalia Click to expand... Ushazoea kukalia chupa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Jan 1, 2022 #5 Azam Fc, piga hao mbumbumbu fc! Hakuna timu hapo!!
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Jan 1, 2022 #6 Saa moja usiku Simba anamla dadake binamu. Kaa utulie ucheki mpira wa kiufundi achana na mechi za mchongo.
Saa moja usiku Simba anamla dadake binamu. Kaa utulie ucheki mpira wa kiufundi achana na mechi za mchongo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 2, 2022 #7 Simba 2 - Azam 1