B brotherp Member Joined Sep 14, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Sep 24, 2014 #1 Habar wapendwa, Vipi kuhusu Mechanical engineering ya hapo NIT inahusiana na magar tuu au widely?
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Sep 24, 2014 #2 ngoja wataalamu zaidi waje. Mi nauliza, hivi yale majina waliyotoa, ni kwa certificate tu, au hata wa degree inawahusu?
ngoja wataalamu zaidi waje. Mi nauliza, hivi yale majina waliyotoa, ni kwa certificate tu, au hata wa degree inawahusu?
zanzibardefi JF-Expert Member Joined Jul 8, 2013 Posts 283 Reaction score 43 Sep 24, 2014 #3 Msafiri Kasian said: ngoja wataalamu zaidi waje. Mi nauliza, hivi yale majina waliyotoa, ni kwa certificate tu, au hata wa degree inawahusu? Click to expand... NIT majina Yale ni certificate tu
Msafiri Kasian said: ngoja wataalamu zaidi waje. Mi nauliza, hivi yale majina waliyotoa, ni kwa certificate tu, au hata wa degree inawahusu? Click to expand... NIT majina Yale ni certificate tu
white1 Member Joined Sep 14, 2014 Posts 10 Reaction score 3 Sep 24, 2014 #4 wakuu hivi pale NIT postgraduate ni muda gani pamoja na research?