Mechanical engineer job, deadline kesho Septemba 29

Mechanical engineer job, deadline kesho Septemba 29

Mwamba1961

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2016
Posts
626
Reaction score
409
Ninauhitaji wa Mechanical Engineers wenye sifa na uwezo kama nilivyoonyesha hapa chini.

Mechanical Engineers, with CSWIP 3.1 certification and NDT qualification (VT;PT;MT;UT & RT).

Naomba kama una ndugu au rafiki mwenye uwezo na uzoefu na awe na vyeti anitumie CV kwenye e-mail,

bethel@amenconsulting.co.tz na copy to

atakoshabani@gmail.com

Naomba watume mwisho tare 29.09.2023 saa saba mchana.

Nimepewa nafasi kwa wazawa kwanza kabla hawajachukuwa wageni kutoka nje ya Tanzania 🇹🇿.

Jamani tushirikiane kusaidia watu wetu ambao ni wazawa.
 
Habari ya kwako mkuu. Hivi ulifanikiwa kupata wahitaji wa hizo nafasi Asante...

Uko katika field gani ya expertise kuna swali naomba kukuliza ?
 
Back
Top Bottom