Mwamba1961 JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 626 Reaction score 409 Sep 28, 2023 #1 Ninauhitaji wa Mechanical Engineers wenye sifa na uwezo kama nilivyoonyesha hapa chini. Mechanical Engineers, with CSWIP 3.1 certification and NDT qualification (VT;PT;MT;UT & RT). Naomba kama una ndugu au rafiki mwenye uwezo na uzoefu na awe na vyeti anitumie CV kwenye e-mail, bethel@amenconsulting.co.tz na copy to atakoshabani@gmail.com Naomba watume mwisho tare 29.09.2023 saa saba mchana. Nimepewa nafasi kwa wazawa kwanza kabla hawajachukuwa wageni kutoka nje ya Tanzania 🇹🇿. Jamani tushirikiane kusaidia watu wetu ambao ni wazawa.
Ninauhitaji wa Mechanical Engineers wenye sifa na uwezo kama nilivyoonyesha hapa chini. Mechanical Engineers, with CSWIP 3.1 certification and NDT qualification (VT;PT;MT;UT & RT). Naomba kama una ndugu au rafiki mwenye uwezo na uzoefu na awe na vyeti anitumie CV kwenye e-mail, bethel@amenconsulting.co.tz na copy to atakoshabani@gmail.com Naomba watume mwisho tare 29.09.2023 saa saba mchana. Nimepewa nafasi kwa wazawa kwanza kabla hawajachukuwa wageni kutoka nje ya Tanzania 🇹🇿. Jamani tushirikiane kusaidia watu wetu ambao ni wazawa.
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Aug 10, 2024 #2 Habari ya kwako mkuu. Hivi ulifanikiwa kupata wahitaji wa hizo nafasi Asante... Uko katika field gani ya expertise kuna swali naomba kukuliza ?
Habari ya kwako mkuu. Hivi ulifanikiwa kupata wahitaji wa hizo nafasi Asante... Uko katika field gani ya expertise kuna swali naomba kukuliza ?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Jan 28, 2025 #3 .