Mechanical Engineering ipoje kwenye ajira?

Satumbo

Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
77
Reaction score
5
Hi! jamani vp kuhusu hiyo course ikoje hasa kwa case ya kujiajili na kuajiliwa.
 
Reactions: w24
ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ??
 
nilifanya field kiwanda cha urafiki kuna engineer wa mechanical analipwa laki 3 kwa mwezi

Huyo sio engineer ulidanganywa atakuwa veta au fundi mchundo
Yaan usikubali kila unaloambiwa unakubali Fanya tafiti.....
 
sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm
 
sio wa kwanza kusoma hio kozi walishasma na waka graduate weng tu cha msingi msuli mdau "no sweet without sweat" hamna kirahs ila juhudi zako tu majjta 01
 
ajira ipo vizuri lakini siyo sana...ukipiga electromechanical ndo zakumwaga:A S wink:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…