Mechanical engineering

Mechanical engineering

kim jung shik

Senior Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
129
Reaction score
23
Jamani mwenzenu napenda sana kusoma hiyo fani ngazi ya diploma nimechaguliwa ATC lakini watu wananambia nIbadilishe sababu ni ngumu watu wanafeli sana wanasema nisome telecom. Naombeni ushauri kama mdogo wenu.
 
Engineering program yoyote ile inahitaji kujitoa, na kama unaamua kujitoa kabisa katika field fulani hakuna kitakachokuwa kigumu.
Ukiacha watu wanaopata matatizo katika masomo yao na kujikuta wanakatiza masomo yao, wapo ambao hujikuta wakifeli kwa sababu ya kutokujipanga vizuri na kukomaa kwenye masomo, sasa kufeli hutokea katika kozi yoyote ile, hata hiyo Telecom wapo watu wamefeli pia.

Ushauri wangu ni kuwa, soma kitu ambacho kiko moyoni mwako na unakipenda bila kushawishiwa ns mtu, wapo watu wanafeli kwasababu wanasomea mambo ambayo hawayapendi ila ni kwasababu tu wameambiwa yanalipa, hapo unakuta mtu anasoma bila dedication yoyote wala mipango yoyote katika program yake, anachoombea tu ni kuwa amalize mapema ili aajiriwe.
Ukisomea kitu unachokipenda utajitoa kikamilifu na shida nyingine kama kufeli zinakuwa na mwanya mdogo sana au itokee bahati mbaya kama inavyowakuta watu ambao ni innocents.
Barikiwa sana.
 
Jamani mwenzenu napenda sana kusoma hiyo fani ngazi ya diploma nimechaguliwa ATC lakini watu wananambia nIbadilishe sababu ni ngumu watu wanafeli sana wanasema nisome telecom. Naombeni ushauri kama mdogo wenu.

Mechanical nzuri kwa sababu unaweza kufungua garage ukapiga kazi ya uhakika...ukisomea utakuwa unafanya kazi kwa kujua na sio kama hawa mafundi wetu wa kukata waya na kuunganisha wakati wanatafuta tatizo...
....wachina wanapiga pesa kwenye garage zao sio kama wamezaliwa wanajua..wamesoma tu...
So kama unapenda komaa utatoka
 
Wakati nataka kusoma miaka ya mwisho ya 80 nilikuwa nafikiria kusoma mechanical ni kwenda kuwa fundi mechanic...mechanical engineering is so wide...ila inataka kukomaa kweli kweli mana mambo yake ni yale yasoyo na mvuto...power plants, thermodynamics, fluid mechanics, vibrations, mechanical design/machine elements. Kama hujajituma inaleta sana usumbufu. Mambo ya digitally ni machache sana.
 
kweli mkuu hiyo course ni nzuri sana kwa dunia ya sasa ya kujiajili ni vema kasome hiyo course .kuhusu ugumu wasikutise kwan kila mtu ana uwezo wake kiakili na kiutendaji hakuna kitu rahisi dunia!!!!!congratulation brother
 
Wakati nataka kusoma miaka ya mwisho ya 80 nilikuwa nafikiria kusoma mechanical ni kwenda kuwa fundi mechanic...mechanical engineering is so wide...ila inataka kukomaa kweli kweli mana mambo yake ni yale yasoyo na mvuto...power plants, thermodynamics, fluid mechanics, vibrations, mechanical design/machine elements. Kama hujajituma inaleta sana usumbufu. Mambo ya digitally ni machache sana.

u can thinks so but it more than real situation that is in peoples mind
 
Usiogope kubadilisha akuna ki2u kigumu ni nisi ndo tunafany vinakua vigumu
 
Mechanical nzuri kwa sababu unaweza kufungua garage ukapiga kazi ya uhakika...ukisomea utakuwa unafanya kazi kwa kujua na sio kama hawa mafundi wetu wa kukata waya na kuunganisha wakati wanatafuta tatizo...
....wachina wanapiga pesa kwenye garage zao sio kama wamezaliwa wanajua..wamesoma tu...
So kama unapenda komaa utatoka

thanks bro
 
Back
Top Bottom