kim jung shik
Senior Member
- Mar 26, 2014
- 129
- 23
Jamani mwenzenu napenda sana kusoma hiyo fani ngazi ya diploma nimechaguliwa ATC lakini watu wananambia nIbadilishe sababu ni ngumu watu wanafeli sana wanasema nisome telecom. Naombeni ushauri kama mdogo wenu.
Mechanical nzuri kwa sababu unaweza kufungua garage ukapiga kazi ya uhakika...ukisomea utakuwa unafanya kazi kwa kujua na sio kama hawa mafundi wetu wa kukata waya na kuunganisha wakati wanatafuta tatizo...
....wachina wanapiga pesa kwenye garage zao sio kama wamezaliwa wanajua..wamesoma tu...
So kama unapenda komaa utatoka
Wakati nataka kusoma miaka ya mwisho ya 80 nilikuwa nafikiria kusoma mechanical ni kwenda kuwa fundi mechanic...mechanical engineering is so wide...ila inataka kukomaa kweli kweli mana mambo yake ni yale yasoyo na mvuto...power plants, thermodynamics, fluid mechanics, vibrations, mechanical design/machine elements. Kama hujajituma inaleta sana usumbufu. Mambo ya digitally ni machache sana.
Usiogope kubadilisha akuna ki2u kigumu ni nisi ndo tunafany vinakua vigumu

soma civil eng