Kwanza ungejiuliza yafatayo
Investment yoyote inahitaji:-
1. Mtaji/ capital ..... je upo?
2. Availability ya resources .... je vipo?
3. Utayari wa serikali .... imewaandaaje wasomi wetu.
Mtaji
Unahita fedha na eneo, hakuna fedha kwa maana yoyote.... wanatengeneza kivipi?
a) conceptual phase inagharama zake
b) design phase inagharama zake
c) Implementation/manufacturing inagharama zake
d) Testing/quality assurance inagharama zake
Lawama zote ipewe serikali ya ccm kushindwa kuwekeza kwa vijana kivitendo. Wamewekeza katika kuimba ccm, ccm, ccm ushenzi mtupu
HAKUNA Karakana zilizoboreshwa kitaalamu....manufacturing centre zikiwa na: -
I) Raslimali watu
II) Malighafi
III) mitambo .... vitendea kazi mbalimbali
IV) vijana walioandaliwa vema
Cha ajabu siku hizi hata sehemu za kufanya Elimu kwa vitendo nikama hazipo.
Serikali isipokuwa na sera wala mikakati bora katika uwekezaji kwa wasomi wetu tutarajie kuwa na taifa la wajinga katika secta zote. Biashara, uzalishaji nk
Ndio maana nadharia ya kujiajiri inabakia midomoni kwa wanasiasa na Vilaza wengine wasioweza kuchanganua mahitajio sahihi ya kiuwezo ilikujiajiri.
Vijana wasomi wa discipline mbalimbali wapo wanazubaa tu sababu sera na mikakati yetu haiwajengi wala kuwawezesha kujiajili.
CCM NDIO TATIZO