Mechanical engineers wa Tanzania wana msaada gani kwa nchi?

Basi na nyie watu wa sociology muanze kuwabeba wagonjwa hata mgongoni jamani, kuliko kuendelea kukoleza lawama kwa mainjinia, madaktari na pharmacists, tusaidiane kubeba lawama..
 
Mkuu, naona leo umenigusa kwenye kilindi cha moyo wangu. Lakini bahatimbaya sana sijaelewa ama nahisi umechanganya mambo mbili zinazo shabihiana.
Kwani ulitaka kumaanisha Ventilations ama Oxygen..??

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahhh. Whatever Mkuu.
Mkuu inaniuma sana kuona mainjinia hapa Tz ni wa hovyo sana wakati kada zingine zinafanya vizuri na wanatumia elimu yao vizuri.
 
Basi na nyie watu wa sociology muanze kuwabeba wagonjwa hata mgongoni jamani, kuliko kuendelea kukoleza lawama kwa mainjinia, madaktari na pharmacists, tusaidiane kubeba lawama..
Okay. You have to change your mind. Una shahada ya uhandisi/udaktari/Phamasia lakini bado huna msaada ila wataalamu wote tunaenda kuwachukua nje ya nchi kutusaidia mambo nchini.
 
Okay. You have to change your mind. Una shahada ya uhandisi/udaktari/Phamasia lakini bado huna msaada ila wataalamu wote tunaenda kuwachukua nje ya nchi kutusaidia mambo nchini.
Kumbe wataalamu waliopo huko wametolewa nje ya nchi? kumbe hii nchi ina fweza sana. Inaajiri wataalamu kutoka nje ya nchi! vipi nyie magwini hata kubembeleza wagonjwa mgongoni na kuwa peti peti hamuwezi, mnataka scientists ndo wasugue vichwa peke yao, punguzeni lawama...
 
ndo mfumo ulivyo. ukienda tofauti na hapo yatakupata ya kukupata kama kuitwa engineer feki, Dr feki na mfamasia feki..
cha msingi si kudharau carrier za watu bali kuboresha mfumo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hebu nikuulize maswali madogo sana mawili

1. Mataala wetu wa Elimu kumundaa kijana kujiandaa kujiajili kwa fani anayosomea umekaaje?

2. Unaweza kuniambia factors za ushindani wa mahitaji kwa mteja na masoko kwenye soko huria?

Jadili haya maswali mawili kulingana na hoja yako. Labda utanielewa naongelea nini ninaposema capital na sera wazeshi kimkakati za serikali.

Kumbuka sipo hapa kushindana ikiwa hunielewi basi ndio matokeo ya ubishi bila hoja.
 
Hahahahhhhh! siyo lawama bali ni ukweli mtupu ambao ukiufanyia kazi unaweza ukafika mbali na ukakusaidia.
Sijasema kuwa serikali inaajiri watu bali makampuni makubwa yanayojihusisha na viwanda, phamacy au hospital kubwa kama Regency, Aga khan huwa naona wafanyakazi wao ni kutoka nje ya nchi. Pia huwa wanaona wanavyoomba Work permit, Residence permit kwa ajili ya experts wao. Huu ni ushahidi mojawapo kwamba hawatuamini sisi watanzania licha ya kuwa na elimu kubwa. Pia huwa naona mtu wa india/Cuba mwenye Diploma ana uelewa mkubwa sana kuliko daktari,injinia, phamasia wa Tanzania mwenye PHD yake.
 

Wewe mropokaji kumbe nilikuwa sifaham

Mimi nikuulize sehemu tatu au nne kisha toa maelezo ya kina.

1. Naomba uweke hapa ratio ya wageni vs wazawa viwanda vifutavyo

A) Tanga cement

B) mbeya cement

C) Atlascopco

D) Geita gold mine

2. IP reference yako kusema hayo unayoyasema by company names
 
kuna wabongo wengi wamesoma vyuo vya hapa TZ kozi hizo hizo lkn wapo mambele huko wanafanya maajabu ktk nyanja mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay. Ingawa sina uhakika na unlichokiongea. So I need evidence to prove your allegations.
Ujumbe wangu ni kwa wale ambao wamefunga ubongo wao na hawataki kuufungua ili kufanya maajabu.
 
kuna wabongo wengi wamesoma vyuo vya hapa TZ kozi hizo hizo lkn wapo mambele huko wanafanya maajabu ktk nyanja mbalimbali

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo sahihi kabisa

Lakini kwa maana ya efficiency na effectiveness in totality the number is very low sababu kuna vifactors kibao under government decision vinawakwamisha vijana
 
Okay. Ingawa sina uhakika na unlichokiongea. So I need evidence to prove your allegations.
Ujumbe wangu ni kwa wale ambao wamefunga ubongo wao na hawataki kuufungua ili kufanya maajabu.

Huwezi kupuuza na kudharau ama kudhalilisha watu bila proper foundation otherwise hujitambuwi
 

Maabara za.mechanical Engineering zinapatikana wapi?
Waswahili wanasema usione vyaelea, vimeundwa. Kama hakuna guidance ya kuwafanya wawe motivated, kwanini wasihamie fani nyingine? Mechanical engineers wengi wamekuwa sales people, software people and some do not know even what they do for living.
And yet, industrialisation cant happen without these people
 
Dah umekumbusha wakati nipo DIT, wanafunzi wa mechanical engineers wazee wa vyuma, dah kifupi ni kukalili madesa na kupata cheti tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati tunasoma watu wa electrical na civil Engineering walikuwa wanaona wamemaliza kila kitu. Muda ni Mwalimu mzuri. Na kila nikiangalia mbele nina hakika bado tunahitaji mechanical engineers wengi kuliko wanavyozalishwa sasa hivi
 
Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture

Are you sure?
Kwanini tumekuwa na
1. Makosa mengi ya kitaalamu zingatia CAG report

2. Tupatie mifano sahihi kesi 10 tulizoshinda kimataifa huko nje tuposhitaki ama kushitakiwa?

Nitaendelea nijibu kwanza haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…