RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
- Thread starter
-
- #41
Jenga hoja mkuu.Huwezi kupuuza na kudharau ama kudhalilisha watu bila proper foundation otherwise hujitambuwi
Kama ndiyo hivyo kwanini nini sasa upoteze muda wote huo mkuu kusoma nadharia ambayo haina manufaa? unajiita mhandisi/daktari/phamasia wakati hujui hata kutengeneza penseli, huna uwezo wa kugundua hata chanjo ya COVID19, hujui hata kutengeneza dawa ya kutibu COVID19.
Jenga hoja mkuu.
Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.
Just prove me wrong.
Hebu nikuulize maswali madogo sana mawili
1. Mataala wetu wa Elimu kumundaa kijana kujiandaa kujiajili kwa fani anayosomea umekaaje?
2. Unaweza kuniambia factors za ushindani wa mahitaji kwa mteja na masoko kwenye soko huria?
Jadili haya maswali mawili kulingana na hoja yako. Labda utanielewa naongelea nini ninaposema capital na sera wazeshi kimkakati za serikali.
Kumbuka sipo hapa kushindana ikiwa hunielewi basi ndio matokeo ya ubishi bila hoja.
[/QUOTE
Jenga hoja mkuu.
Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.
Just prove me wrong.
Are you sure?
Kwanini tumekuwa na
1. Makosa mengi ya kitaalamu zingatia CAG report.
2. Tupatie mifano sahihi kesi 10 tulizoshinda kimataifa huko nje tuposhitaki ama kushitakiwa?
Nitaendelea nijibu kwanza haya
Jenga hoja mkuu.
Kwanini hampeni kuambiwa ukweli lakini? au mnataka msifiwe wakati uwezo hamna? wise up brother.
Just prove me wrong.
Kwanini na wewe ukusoma hio Engineering ama doctors ukasaidia nchi?wewe ni ngwini.Habari wanaJF?
Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?
Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19 ambapo tunatakiwa tuwe na vifaa vya kutosha kama VENTILATORS. Cha kushangaza hawa wenye ujuzi wao wamekaa tu na vyeti vyao badala ya kuingia maabara kutengeneza hivi vifaa ili kusaidia watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa COrona.
Nyie ni watu wa aina gani? kwanini mnataka tuagize hivi vifaa huko nchi za nje wakati tuna wataalamu wanakula mishahara ya bure? changamkeni acheni uzwazwa wa kulalalia mavyeti yenu.
kwanini mnapenda kuwa nyuma na kujifananisha na watu waliosoma Political Science?
Hakika aliyesoma Political Science au Sociology nchini Tanzania ana msaada mkubwa sana kuliko engineers na doctors.
Kweli elimu siyo vyeti, elimu ni kile ulichonacho kichwani mwako.
Karibuni kwa michango wakuu,
Ahsanteni.
Wamekuwa sales people?Maabara za.mechanical Engineering zinapatikana wapi?
Waswahili wanasema usione vyaelea, vimeundwa. Kama hakuna guidance ya kuwafanya wawe motivated, kwanini wasihamie fani nyingine? Mechanical engineers wengi wamekuwa sales people, software people and some do not know even what they do for living.
And yet, industrialisation cant happen without these people
Tupe Elimu yako kwanza na tuonyeshe ulichogundua ambacho ni msaada kwenye jamii yako,sio kubwabwaja na kuleta ujuaji hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu maabara ni sehemu yoyote ambayo unaweza kufanya mazoezi kwa vitendo.
Kwanini na wewe ukusoma hio Engineering ama doctors ukasaidia nchi?wewe ni ngwini.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Tulishinda kule SA farmers kwa kutumia wanasheria mahiri wa serikali.
2. Wakati wa ukoloni Nyerere alishitakiwa kwa kosa la uhaini na mwisho wa siku alishinda kesi kwa sababu aliwajiri mawakili mahiri wa kujitegemea na ikapelekea kuanzisha na kuruhusu PRIVATE PRACTITIONER
ATTORNEYS/ADVOCATES eg. Tundu Lissu, Mabere Marando, Lamwai, Fatuma karume, Kibatala
3. Negotiation iliyofanywa na waziri wa mambo ya nje mpaka imeleta matunda ya kugawana faida 50/50
Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
J jjjjjnnj nnnnjnnnnnnnjnjnnnnnnnnn jnjnjnjjjjjjnjjjnjnjjjjnjjnnj jjnnnnjjnnnjjknob nnnjjnjjjnKwanza, ulichokisema hakinishawishi hata kidogo mkuu. Uwezo na ujuzi wako ni mtaji tosha kabisa. Show your ability/skills the world will support you. Sasa jitu linakaa ndani na kulalia mavyeti yake. haliwezi hata kuweka ujuzi wake into practice ila anapambna na theories tu ambazo hazina manufaa yoyote.
Pili, unaposema utayari wa serikali unamaanisha nini? kama wewe haupo tayari kuonesha ujuzi na uwezo wako kivipi serikali itakuwa tayari na wewe?
Tatu, Umesoma taaluma ya Uhandisi, Udaktari/Phamsia bado unataka uajiriwe? huo ni uoga wa maisha na uzwazwa na kutokuamini uwezo na ujuzi wako ulioupata huko mshuleni. Smart and intelligent people cannot be employed kwa sababu hawatakuwa huru kuonesha uwezo na ujuzi wao na ndiyo maana huwa wanataka wawe huru na siyo kutumikishwa.
Nne, sitaki uje na lame excuse kwamba mfumo wa elimu yetu mbaya. Kama mfumo mbaya ulienda shule ili iweje? ulienda kupoteza muda wako au? Maana ya mtu msomi ni kwamba ukishapata maarifa yatumie vyema kuisaidia jamii, rekebisha na kuyaweka sawa yale mambo ambayo hayko sawa.
Tano, ukiona msomi mwenye shahada ya uhandisi, Udaktari n.k analalamika kuhusu mfumo wa elimu tambua kwamba wewe bado ni mjinga wa kutupwa na ulienda shule kupoteza muda wako huko shuleni kusoma kitu ambacho hakikusaidii.
Pia kuna shirika moja pendwa nchini wataalamu wake hawana hizo B of Sc huwezi amini ila ndo mpaka Engine wanavua wao aisee...Hahahahhhhh! siyo lawama bali ni ukweli mtupu ambao ukiufanyia kazi unaweza ukafika mbali na ukakusaidia.
Sijasema kuwa serikali inaajiri watu bali makampuni makubwa yanayojihusisha na viwanda, phamacy au hospital kubwa kama Regency, Aga khan huwa naona wafanyakazi wao ni kutoka nje ya nchi. Pia huwa wanaona wanavyoomba Work permit, Residence permit kwa ajili ya experts wao. Huu ni ushahidi mojawapo kwamba hawatuamini sisi watanzania licha ya kuwa na elimu kubwa. Pia huwa naona mtu wa india/Cuba mwenye Diploma ana uelewa mkubwa sana kuliko daktari,injinia, phamasia wa Tanzania mwenye PHD yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]I didnt expectMa-Injinia tumekuwa Ma-Group Admins.
Sema tu hesabu zilikuwa zinakupiga chenga ndio umeamua kutoa hasira zako hapaπππMkuu sikutaka elimu ya kukariri manadharia yasiyo na tija katika jamii.
Ukija kwenye practice ni zero.