Mechanical engineers wa Tanzania wana msaada gani kwa nchi?

Unaandika kwa chuki kama mtu mwenye stress zake zilizo jaa kifuani unaedhani unaweza kupata auheni kwa kutukana mainjinia.

Ugua pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mropokaji anaeandamwa na chuki + msongo wa mawazo. Anadhani kutukana na kuropokea pamoja na ubishi bila hoja utapunguza msongo alio nao kifuani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi Cuomo kasema hata Elon Musk hana uwezo wa kutengeneza ventilators yeye mwenyewe. Mtu ana kampuni ya magari ya umeme lakini hawezi kutengeneza ventilators hivyo ni teknolojia ngumu inatumika. Kama Telsa models zote vifaa vyake wametengeneza wao, then ventilators wanategemea kuagiza nchi zingine baadhi ya components zake apo ujue ni ngumu.

Pia sina hakika kama mechanical engineers ndo hasa wanatakiwa kuhusika utengenezaji, yawezekana sio wahusika wakubwa.
 
Kuna dogo wikiendi iliyopita nimemsikiliza clouds kipindi cha asubuhi ameunda hizo ndoo zinaitwa 'covid fighter' unaweza mcheki mitandaoni.. kwasasa anachohitaji ni sapoti tu kusambaza ziwafikie wengi. Serikali na wadau ndio wanapoingia hapa sijui amefikia wapi. Ni ndoo ya sensa sabuni na maji vyote automatic.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hajaelewa hata hapa ...basi aliemroga kafa miaka mingi iliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huyu RAYAN THE DON amepiga kwenye kidonda hasa(hit the spot)
Yuko sawa kabisa nyie ma Mechanical Engineers tena wale wa U of D Mlimani mnaojifanya the ma ELITIST wa taaluma zote(useless)
Hebu angalia hii prototype(mfano hai) wa ventilator ambayo imetengenezwa na vifaa vya kawaida tu kuvipata au kutengezwa
kwa fundi mchundo,
Yaani huwezi kutafuta motor kutoa kwenye kifaa chohote halafu ukaongeza na rheostat in series with motor to control voltage hence controling the speed, ukaifunga na hilo gurudumu la kuchonga lenye muundo wa mviringo wa yai(oval), kila mzunguko unakandamiza huo mfuko wa hewa(breathing bag) na kujaza hewa(oxygen) kwenye mapafu
Huu ni mfano hai(concept), sasa wa mlimani mashindwa haya tu
kazi kujipa vititle tu eti Eng A Kazibure, kwakuwa tu umemaliza kadegree ka Engineering
Sisi huku tumemaliza ninenteen kweusi lakini bado unaambiwa tengeneza portfolio ya kazi yenye kushadidi ujuzi na ubora wako ndio tutakuuita Chartered Engineer
Angalia chini video hiyo , hii na uhakika ukitengeza prototype ya kivyako na Mzee Jiwe akaiiona, lazima utapata ruzuku ya kukamilsha, siyo unataka eti maabara ya kisasa kwahiyo ndio viteb=ndea kazi (bollocks)

 
Kitu kidogo sana hicho kuki design aisee, dont blame on us, you better start with your government bro. Niliwahi kuandaa proposal ya project plus drawings na kila detail lakini nahisi jamaa washavutia ganja hayo makaratasi.
Au mtu ameitekeleza kimyakimya au kuuza nje. Bongo nyoko, mleta mada hajui
 
Wamekuwa sales people?

Mkuu maabara ni sehemu yoyote ambayo unaweza kufanya mazoezi kwa vitendo.

Nani akufanye uwe motivated if you don't show what you have? show your skills the world will support you.

Shida yetu as a society tunashindwa kutofaitisha shule na ujasiriamali. Mechanical engineers wanaweza kuwa effective kama kuna uwekezaji kwenye viwanda. Na hiyo ni zaidi ya knowledge ya uhandisi wa mitambo. Kujidanganya unatengeneza ventilators bila kujua zinaenda wapi ni kujitakia umaskini.
Nakupa mfano mdogo, Temdo Arusha wanatengeneza incinerators nzuri sana. Ila hazina soko. Unajiuliza mahospitali yote haya, wananunua wapi???
Kitu kingine, uhandisi wa aina zote unategemeana. Usiseme mechanical engineers tu...civil wamefanya nini? Electrical nao je? Chemical engineers????
Mwisho wa siku usidanganye watu eti kuna maabara ya kutengeneza hizo machine. Maabara zipo mahospitalini. Wahandisi wanaziita workshops.
 
Kudos. The truth must be told so that they can change their stupid mind.
Wanasema kuwa capital hawana wakati unaweza kutumia ujuzi na material ambayo ni affordable ukatengeneza ventilator.
 
Tulimezeshwa madesa tu, shortly mfumo wa elimu ya Tz ni kupata vyeti tu mkuu, sijaponda popote, nilikuwa Telecom

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona shida kubwa ipo hata baada ya kutoka Chuo
Made a yanaua creativity. Na mazoezi nayo yanaua vision.
Ina maana tungekuwa tunatoka Chuo na kwenda workshop zenye machines za kuchonga, kuunga na kufanya fabrication au manufacturing, mango yangekuwa tofauti. Kuna wakati mwingine mtu najifunza kadri anavyofanya kazi
 
HAKUNA Engineer Tanzania

Kuna mifano tu ya Engineers au tuwaite Wahandisi wa Vyeti tu.

That's it !!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahah.

You nailed it brother. Hawa wahandisi wa vyeti hawewezi hata kutengeneza pikipiki halafu wanaleta ubishi usiyo na maana na kuanza kusingizia serikali. Wakati wao wenyewe ni mzigo kwa serikali kwa kutokutumia ujuzi wao kutatua matatizo madogo madogo.

Kwa kipindi kama hiki ndipo wangejitokeza kuonesha uwezo na ujuzi wao kwa kutengeneza appliances za kusaidia kupambana na hili gonjwa la COVID19 but wamelalia vyeti wanasubiri kuajiriwa.
 

Kwa kipindi hiki hujui ventilators zinaenda wapi mkuu? Kipindi kama hiki ndipo pa kuonesha uwezo na ujuzi wao kwa sababu ventilators zinahitajika kwa wingi sana ili kusaidia watu waliokumbwa na ugonjwa wa Korona.
 
Haya mainjinia ingieni MAABAR mutengenezeVENTILLATORS
 
CCM NDIO TATIZO, du! Kwa mawazo haya tutafika kweli! Kuna ushahidi gani kuwa vyama vya upinzani ndio mwarobaini wakati ndio mabingwa wa kufukuzana uendeshaji wa vyama ukihojiwa!
 
Kwa kipindi hiki hujui ventilators zinaenda wapi mkuu? Kipindi kama hiki ndipo pa kuonesha uwezo na ujuzi wao kwa sababu ventilators zinahitajika kwa wingi sana ili kusaidia watu waliokumbwa na ugonjwa wa Korona.

ICU zimejaa ventilators. Why do you want specifically this time around? Ventilators are need for many uses, including the hospitals.
 
Hizo ventilators wanatengenezea P*mbu zako?? Acha dharau wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…