RAYAN THE DON
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 679
- 1,220
- Thread starter
-
- #81
Uwezo watautoa wapi wakati hata ndoo za kunawia hawawezi kutengeneza tunatengeneza sisi ambao hatuna vyeti vya uhandisi.Mfano kuna jamaa kagundua njia salama ya kunawa kwa kutengeneza mtambo bora. Huenda hata hana elimu ya uhandisi bali ni kijana wa mtaani tu mwenye ujuzi wake. Ngoja nimfuatilie ili niwe na uhakika zaidi.Haya mainjinia ingieni MAABAR mutengenezeVENTILLATORS
CCM NDIO TATIZO, du! Kwa mawazo haya tutafika kweli
Uwezo watautoa wapi wakati hata ndoo za kunawia hawawezi kutengeneza tunatengeneza sisi ambao hatuna vyeti vya uhandisi.Mfano kuna jamaa kagundua njia salama ya kunawa kwa kutengeneza mtambo bora. Huenda hata hana elimu ya uhandisi bali ni kijana wa mtaani tu mwenye ujuzi wake. Ngoja nimfuatilie ili niwe na uhakika zaidi.
Toa hoja mkuu ni kwanini watu wa kada hii wamekuwa useless wakati wengi wao serikali iliwapa mikopo kuhakikisha wanakuwa tija kwa taifa letu. Lakini leo hii wamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa jamii kwa sababu jamii inazalisha incompetent engineers ambao hata penseli hawajui kutengeneza.
Siyo dharau but the truth must bed told.
Hakuna haja ya kuwafumbia macho.
Lazima niwaeleze ukweli hata kama mtaumia ila you gonna change your mind.

Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?Lawyers (NOBLE PROFESSION) , Accountants ,actuarial scientists, valuers, architecture
Ingia twitter utaona Demo na utaona anavyotangaza bidhaa zake.Kwa haraka haraka anaweza kutengeneza ngapi kwa siku na ananunua bei gani kila moja kabla ya kutengeneza
Jana nimekuuliza maswali yote hujayajibu
Nasubiri majibu au niyarudie tena umemsahau?
Post number 88.Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.
Ingia twitter utaona Demo na utaona anavyotangaza bidhaa zake.
Anazo nyingi mkuu. Ni ubunifu mkubwa sana ambao umetumia teknolojia rahisi.
kwa bei ya rejareja anauza Tshs 95000/=, bei ya jumla ni Tshs 75000/=
Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.
Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.
Hebu nikuulize maswali madogo sana mawiliexpand...
Hawana mtajiHabari wanaJF?
Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani?
Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao kusaidia jamii. Au elimu yenu ipo kwenye makaratasi? mfano kwa sasa tumekumbwa na janga la COVID19 ambapo tunatakiwa tuwe na vifaa vya kutosha kama VENTILATORS. Cha kushangaza hawa wenye ujuzi wao wamekaa tu na vyeti vyao badala ya kuingia maabara kutengeneza hivi vifaa ili kusaidia watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa COrona.
Nyie ni watu wa aina gani? kwanini mnataka tuagize hivi vifaa huko nchi za nje wakati tuna wataalamu wanakula mishahara ya bure? changamkeni acheni uzwazwa wa kulalalia mavyeti yenu.
kwanini mnapenda kuwa nyuma na kujifananisha na watu waliosoma Political Science?
Hakika aliyesoma Political Science au Sociology nchini Tanzania ana msaada mkubwa sana kuliko engineers na doctors.
Kweli elimu siyo vyeti, elimu ni kile ulichonacho kichwani mwako.
Karibuni kwa michango wakuu,
Ahsanteni.
Someni fani zote mwishoni mtarudi tu kwenye IT angalau kupata mlo wa sikuHabari wanaJF?

Lawayer Noble proffesion ina mchango gani kwa taifa?
Pamoja na kuipaka rangi hiyo fani ya ulawyer lkn eneo la UDSM kuna mjanja kawapiga eneo la Mlimani city kuanzia wanafunzi mpaka Maprofesa hawaelewi walisaini nini,sasa huo unoble unaupima kwa nini?
Kesi kibao kubwa za serikali na makampuni makubwa tunashindwa mahakamani huo unoble unaupima kwa nini?
Hiyo accountants inafanya vizuri wapi?Hela kibao kwenye taasisi binafsi na mashirika ya uma zinapigwa na kama hujui accountants kazi zao zitaanza kufanywa na Maprogrammer ambao hawa unawaponda wewe watu wa Computer Science,Computer Engineer,Software Engineer ,Bussines Information System nk na wanafanya hivi sababu kurahisisha ukaguzi nakupunguza upotevu wa hela.
Engineer watanzania unamlaumu je umemuwekea mazingira gani?
Kuna mainjinia kibao nje ya nchi O level na A level wamesoma Tanzania ila Degree wamesomea nje na wanafanya mambo makubwa mf kuna Mtanzania yupo Boing USA kasoma Azania na Ilboru so husiwalaumu mainjinia wa Tanzania kwani mazingira yenyewe mabovu.
Hebu watembelee wanafunzi wa Engineering ambao wapo mwaka wa mwisho wanao andaa hizi projects zao,waulize bajeti zao kiasi gani na serikali wamewapa kiasi gani? na projects zao wanafanya kwenye mazingira gani?
Alafu jaribu kusearch USA au nchi yoyote iliyopiga hatua alafu angalia miundo mbinu na wanafunzi wao wa Engineering wanapewa kiasi gani kwa projects zao wanazozifanya mwaka wa mwisho,ndipo utagundua elimu yetu na yao mbingu na ardhi.
Tanzania kuna watu wa Historia lkn vumbuzi zote za historia za masalia ya kale wamefanya wazungu toka nje,vipi hawa nao vilaza au hawajui?Mwisho wa siku tumekubali na kuamini KWAMBA MWAFRIKA KATOKANA NA NYANI.Wanashindwa kukanusha hata hii statements ya unyani inayotukandamiza Africa.Mpaka historia yetu imeandikwa na wazungu mpaka baadhi ya mafuvu ya machifu wetu wameyachukua na kuyaweka katika majumba yao ya makumbusho ulaya huko.Tuna makabila zaidi ya 126,lkn hamna hata kabila moja historia yake imeandikwa na kuelezewa in deep na wanahistoria wa Tanzania ,tunarukia rukia historia za watu mara Vasco Dagama,mara sijui nani,tumewasahau machifu wa Wazaramo,Wamatumbi,Wandengereko,Wagogo,Wapogoro nk.
Unawakejeli mainjinia na madokta lkn ukiumwa hawa ndio wanakutibu,sometimes una surrender mpaka kalio lako kuchomwa sindano,unawakejeli mainjinia lkn bado unapita kwenye barabara waluzotengeneza wao ,unatumia simu ambayo miundo mbinu yao baadhi imekuwa designed na kuwa maintained na wao.
Nakusubiri hujibu hoja zangu post no 88.Nitajie ni post namba ngapi ili nikujibu mkuu.
Someni fani zote mwishoni mtarudi tu kwenye IT angalau kupata mlo wa siku