Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,158
- 1,688
Samahani mkuu...Jamaa zamani wakikuajiri unakula raha kuliko serikalini.
Sijui siku hizi kukoje
Kitambo kidogo. My brother worked there before hajaajiriwa TRC.Samahani mkuu...
Hiyo zamani unayo isemawewe ilikua ni mwaka gani??
Ohhhhh....Kitambo kidogo. My brother worked there before hajaajiriwa TRC.
ZAIDI YA MIAKA 10 SASA
Ungeenda tuOhhhhh....
Basi sawa mkuu, mie waliwahi kuniita kazini direct from chuo mwaka 2000 na nikawatosa.