Mechanical Technician

Mechanical Technician

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,320
Reaction score
1,738
Mimi n kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 29. Nlisoma Mechanical Engineering DIT mwaka 2010-2013. Nnatafuta company yoyote ya kufanya nayo kaz. Nna uwezo wa kufnya kaz kwenye Migodin na Company za Ujenzi kwenye Catpillar machine,Generator,Air compressor etc. Experience ni Miaka 2 Tanzania, Miaka 3 nje ya nchi.
 
Nikushauri kitu. Somea na udereva Veta au NIT. Kama utasoma na kuendesha mitambo ya ujenzi itakuwa poa sana
 
Fungua workshop ya ku repair magari au deal na steel works kama madirisha, milango, furniture etc.. its much better that way and the sart up capital is small..
 
kama kias gan...?
 
Tembelea kwenye ma-garage unaweza pata sehemu ya kujishikiza huku ukijipanga taratibu
 
Mimi n kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 29. Nlisoma Mechanical Engineering DIT mwaka 2010-2013. Nnatafuta company yoyote ya kufanya nayo kaz. Nna uwezo wa kufnya kaz kwenye Migodin na Company za Ujenzi kwenye Catpillar machine,Generator,Air compressor etc. Experience ni Miaka 2 Tanzania, Miaka 3 nje ya nchi.
Kibarua utafanya?
 
TRC watatangaza nafasi mkuu uwe mfatiliaji tu kwa ajili ya meter gauge (MGR) kama umefanya kazi mpaka na Engine za CAT naimani Engine za EMD na GE utacheza nazo vema.
 
Ila hasa katika DIESEL ELECTRIC LOCOMOTIVES ndiyo utakutana na hivyo vitu kama DIESEL ENGINES, TRACTION ALTERNATOR (AC GENERATORS) na hizo AIR COMPRESSOR pia usiache kujaribu na TAZARA.
 
TRC watatangaza nafasi mkuu uwe mfatiliaji tu kwa ajili ya meter gauge (MGR) kama umefanya kazi mpaka na Engine za CAT naimani Engine za EMD na GE utacheza nazo vema.
Asante kaka. Ntakua nnafuatilia
 
Nipigie 0692470547/0658276181

Back
Top Bottom