MECHANICAL Vs CIVIL ENGINEERING

niggapaul

Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
49
Reaction score
43
Habari zenu wakuu...
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Naomba mawazo yenu katika hili.
kwanza kabisa mimi nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka huu (water institute) diploma ila mpaka sasa nipo dillema nikasomee ipi kati ya hizo hapo kozi tajwa hapo juu ili kukabiliana na maisha halisi ya kitanzania na dunia ya leo inayokua kwa kasi sana.

Lengo langu ni kujiajiri na hata ikitokea kuajiriwa sio mbaya..
katika vyuo hivi (MUSTI,ATC na DIT)
samahanini sana mm sio mwandishi mzuri.

Mawazo yenu ni ya muhimu sana katika hili.
NATANGULIZA SHUKRANI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…