Mechi 3 bora za wakati wote!

Upo vizur
 
Mkuu mchochezi nimependa sana uzi wako, ila nna mashaka kidogo na hiyo game ya city na man u. Nadhani ya bayern na man u inastahili kuwepo kwenye list. Game ya milan na liver nadhani ndo ilipaswa kua namba moja, na ya milan na deportivo ibaki pale ilipo maana ilikua ni bonge la gemu. Wakati huo deportivo ilikua deportivo kweli, hapa walter pandiani, kule diego tristan, hapa valeron. Mkoba ulikamatwa na watu kama nurdin naybet na jorge andrade, ilikua sio poa. Kama shabiki wa damu wa milan sitakaa nisahau hiyo gemu, pamoja na ya liver. Ziliniliza
 
Italy 1 South korea 2 world cup 2002 Italia anaanza funga Korea anasawazisha na kufunga la pili zile dakika za goli la dhahabu.

Italy nje mpka wanamtimua mchezaji wa South korea aliyekua akicheza italia kama sikosei ni Perugia
Bado nakumbuka vizuri sana hii game. Jamaa ndo alipiga golden goal, ni kweli alikua anachezea perugia. Alikua anaitwa ahn jung-hwan kama sikosei. Korea chini ya hiddink ilikua sio poa wakati ule
 
Super Depo ilisumbua sana, Diego Tristan, Roy Makaay na Walter Pandiani
 
Super Depo ilisumbua sana, Diego Tristan, Roy Makaay na Walter Pandiani
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 super depo ilisumbua kweli mkuu. Mpaka walichkua la liga miaka hiyo, tena kwa tofauti ya pointi kama 5. Hao uliowataja hapo walikua ni mwiba mkali. Makaay mpaka akachkuliwa na bayern mwaka 2003 kama sikosei
 
Simba sc na Mbao fc 2016 japo mi ni shabiki wa simba ila hii game ilinifanya niwapende mbao kwa game tamu.
 
Dah wakuu naulizia channel ya kwangalia mpira online .. au website au application oote
 
B. Dortmund vs Malaga UEFA 2012 was the best game i ever saw

Dortmund 4 Madrid 0 2012

Bayern 4 Barcelona 0 2012
 
copy na paste link kutoka YouTube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…