Mechi alizoalikwa au kuhudhuria mkubwa wa nchi na timu ya taifa au timu ya club kufungwa

Mechi alizoalikwa au kuhudhuria mkubwa wa nchi na timu ya taifa au timu ya club kufungwa

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
moja ni wakati wa Rais Ali Mwiny timu ya simba ikapoteza na mzee akakata mguu akatoa na ule msome wa kichwa cha mwendawazimu kila kinyozi hujifunzia kunyoa ,mbili rais Kikwete mpaka kamlipia kocha mshahara kwa timu ya taifa weeee mwenyewe kasema kabisa kila nikija taifa timu yafungwa mwisho mzee kasema labda nina mkosi nisiende tena uwanjani kufungwa kukaendelea,juzi kati kuna timu gani imemwalika mkulu kabisa ikafungwa mbele yake .jana hivovhivo mkulu kawalipia hela kibao,na akawa anawaangalia kupitia luninga matokeo yaleyale.
Nampongeza rais kwa juhudi zake ila asikate tamaa kuna nchi ama club zilistruggle miaka mingi sana kufikia mafanikio mfano timu ya chelsea miaka 53 kuchukua ubingwa ,liverpool ina miaka mingapi imeutema ubingwa aseno je?
 
Back
Top Bottom