Mechi bora kwa mwaka 2019

Mechi bora kwa mwaka 2019

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Tutajie mechi iliyokuvutia mwaka huu 2019, tukiwa tunakaribia kuuaga mwaka huu si vibaya tukakumbushana mechi bora ya mpira wa miguu iliyokuvutia inaweza ikawa Tanzania, Africa, EPL, La Liga, UEFA, Serie A au hata Bundesliga.
Karibuni...
 
Manchester utd vs Manchester city iliyochezwa hivi karibuni. Msisimko wake ulikua hatari tupu
IMG_20191225_133515_570.JPG
 
Back
Top Bottom