Mechi gani ya fainali ya kombe la Dunia ilikuwa kali na ya kusisimua zaidi?

Paraguay vs German 16 round 2002 na Italy vs Australia robo fainal 2006
 
Argentina vs Holland,,,,1998
 
Vipi fainali ya 1970 Italy vs Brasil?
 
England vs Brazil 1970
Hii nusu fainali ilikuwa tamu sana huku kipa wa England Gordon Banks akiwa nyota wa mechi kwa saving alizofanya hasa ile aliyo jipindua na kusave bicycle kick ya Pele na wakati alisha shangilia goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…