Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

Majamaa waliweza kupumua.Walichoka kwa kujamba [emoji23]
 
Mwanzo ulianza vizuri ila mwishoni umetufunga kamba mkuu
 
Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo, refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.

Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpakau penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushiwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refa akawuaomba wakate kombe nusu kwa nusu.
 
Kweli hii ilivunja record ya Dunia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…