Mechi ipi Jonathan Kapela kafunga hata goli?

Mechi ipi Jonathan Kapela kafunga hata goli?

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli.
Mwenye takwimu aweke hapa
 
Pamoja mkuu, ila usisahau kutupa takwimu za Steve Mukwala Vs Ibrahim Bacca.
 
Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la
Walete hata ni mechi zipi hizo amefunga magoli,hata kwenye livescore
 
Back
Top Bottom