Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Jan 20, 2025 #1 Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Jan 20, 2025 #2 Ndo nani Kwani..?
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Jan 20, 2025 #3 Dabil said: Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa Click to expand... Magoli ya wapi mkuu. Ya kitandani?
Dabil said: Naomba takwimu za huyu mchezaji kuhusu magoli,sidhani maisha yake yote soka ya kulipwa kama ana goli. Mwenye takwimu aweke hapa Click to expand... Magoli ya wapi mkuu. Ya kitandani?
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Jan 20, 2025 #4 Pamoja mkuu, ila usisahau kutupa takwimu za Steve Mukwala Vs Ibrahim Bacca.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Jan 20, 2025 #5 Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 6,823 Reaction score 15,293 Jan 20, 2025 Thread starter #6 Jadda said: Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la Click to expand... Walete hata ni mechi zipi hizo amefunga magoli,hata kwenye livescore
Jadda said: Wanasema kwenye mechi 56 ana magoli 5 na assist 4 sasa sijui Kama ni kweli au la Click to expand... Walete hata ni mechi zipi hizo amefunga magoli,hata kwenye livescore