Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM.

naona unataka kuleta mambo ya Bush Stars na Born Town
 
Itakua zaidi ya Simba na Yanga alaf we kijana mbunifu sana. Unaweza kuingiza mkwanja ukiandaa hii Game uwanja wa taifa
 
Mechi ikiisha bavicha watahitajika kwenda kupima mkojo
 
Hao watakuja na smg hao.. Sio watu wazuri kabisa
 
Nyie watu nyieeee......yaani hapa JF ni raha saaanaaa!
You have made my weekend[emoji23][emoji23][emoji23]
Weitaaaa lete Faru John a.k.a Bombadier!!
 
Humphrey polepole ni uvccm au?? CCM hawaeleweki umri wao sahihi! Unaweza kusikia lemutuz naye ni uvccm!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…