Mechi Kuahirishwa, Simba na Nembo ya GSM

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Leo mechi kati ya Kagera Sugar na Simba ilihairishwa, kutokana na wachezaji wa Simba kuwa na mafua makali!

Sasa naomba kuwauliza viongozi wa Simba, kama mechi ingechezwa, je mlikuwa mmeishaweka nembo ya GSM kwenye bega la kushoto mwa jezi? Hii ni kwa sababu, timu zote 15 zimeisharidhia udhamini wa GSM isipokuwa Simba. Na hizo timu 15 zimefurahia udhamini wa GSM (Watakuwa wameishapata mgao wao). Ina maana kuna mgao wa Simba pia kutoka GSM.

Na huku mtaani, leo mashabiki wa Yanga walikuwa wanasubiri kwa hamu kuwaona Simba wamevaa nembo ya GSM ili wawacheke mashabiki wa Simba.

Sitaki kuhusianisha kuhairishwa kwa mechi na mgogoro kati ya Simba na TFF kuhusu udhamini wa GSM. Mechi imehairishwa kwa sababu wachezaji wa Simba wana mafua makali.

Muda ni msema ukweli, tusubiri mechi ijayo ya Simba kama watavaa nembo ya GSM au la, kwa sababu timu zote 15 zimekubali udhamini wa GSM.

Wito wangu, TFF iwe sirias na kuendesha soka la Tanzania, ili isije kusababisha vurugu za mashabiki huko mbeleni.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hakika, umenena vyema.

TFF wangekuwa serious GSM wasingepaswa kudhamini Ligi.

Kama ulimaanisha kinyume na maoni niliyotoa, sorry, siwezi kuyabadili.
 
Unatumia muda wako kuandika utumbo
Kwanini utumbo? Au unasema kinyume chake!

Simba walishasema hawawezi kuvaa nembo ya GSM, na leo ilikuwa ni mechi. Je, Simba walikuwa wameishaweka nembo ya GSM kwenye jezi wakati bado wanavutana na TFF?

TFF wameleta fujo katika mpira wetu.

Kuhairishwa kwa mechi, madhara yamewakumba mashabiki pia, kwani wapo ambao wamesafiri kutoka mikoa na nchi jirani (Rwanda na Burundi) kwenda Kagera kuitazama mechi hiyo!

TFF ya mzee Tenga angalau ilikuwa sirias mpaka Taifa Stars wakaenda kuweka kambi Brazil!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
TFF wameishaleta fujo kwenye mpira baada ya huu udhamini wa GSM!


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Fujo gani wew kitumboTele.. ? Siwez kuamini kwenye Hilo.. kama ingekuwa wa baya au jinai lolote Timu 15 zote zisingelikubali.. hii Timu inayoitwa Simba ndo Ina mambo hayo sana hapa Tanzania na inataka kuturudisha nyuma. Sasa sisi TFF tunasemaje Mikia lazima wavae nembo kama vp mjitoe ligi kuu.
 
Hasara gani ww. Hakuna Cha hasara yoyote. Makolos nyie ni Genge la wahuni tu.. na mtapata tabu sana mwaka huu mtakimbia mpaka nchi.
 
Nikiangalia vita ya Mautopolo vs Makolo Toure huwa najikuta nacheka kakicheko ka mwendazake mna safari ndefu Sana.
Hasara gani ww. Hakuna Cha hasara yoyote. Makolos nyie ni Genge la wahuni tu.. na mtapata tabu sana mwaka huu mtakimbia mpaka nchi.
 
Simba hatavaa nembo ya GSM kwenye ligi ,na kwa michezo yake ya nyumbani mabango ya GSM hayatawekwa
 
Mi ningekuwa mo ningetoa bl 2.5 niwe mdhamini wa 3 wa ligi na logo yangu ikae pale nyuma ya mo foundation na picha la kutisha la simba.
 
Mpuuzi kweli ww, kwani simba wamegomea udhamini wa gsm? Simba anataka kujua maslahi yake ili kuvaa nembo ya gsm
 
T TFF washavuta nao au bado?
 
Toka kule ww,, Kuna siku tulikuja kwa Mikia kuomba tuende CAF...?? Sisi tunaenda CAF kwa juhudi zetu wenyewe ukitaka kuelewa hili jiulize kwann huko CAF hawaindi Mtibwa Sugar KOLO mmoja ww
Tunawapga chapuo nyie uto afu mnaleta dharau..ss msimu ujao tutawapeleka mtibwa...kengee wewe
 
Yanga alishawahi kugomea pesa za azam kisa kupata kiasi sawa na vilabu vingine,yanga alishagoma kuvaa nembo ya mdhamin vodacom kisa rangi ,yanga uyu uyu amegomea kuvaa teba nembo ya mdhamin mkuu kisa rangi na kote uko baada ya mazungumzo yanga alitoboa tena kwa kuvunja kanuni,simba sio tu amekataa kuvaa nembo ya mdhamin mwenza ila ata kanuni yao hao hao tff hakuna sehem inayoonyesha mdhamin mwenza akae ktk jez ,alafu ww unasema et simba ndio ina mambo ayo ushabik wako usikusaulishe mambo
 
Ukweli ni kuwa Simba wana wivu wa kibiashara kwa GSM kutoka kwa ponjoro wao.
Na mashabiki yalivyo majinga yanapelekeshwa hovyo kufuata mkumbo.

Team mpka sasa 16 zimekubali lakini jinga moja kutoka kariakoo ndio limegoma
 
Unaanzaje kulinganisha Simba na hizo 15,kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…