Hivi wale wapumbavu waliokataa kuvaa jezi yenye logo nyekundu ni kina nani?Ukweli ni kuwa Simba wana wivu wa kibiashara kwa GSM kutoka kwa ponjoro wao.
Na mashabiki yalivyo majinga yanapelekeshwa hovyo kufuata mkumbo.
Team mpka sasa 16 zimekubali lakini jinga moja kutoka kariakoo ndio limegoma