Mechi moja moja, Yanga wana Goli 1na pointi 1, Simba Goli 7 na point 3

Mechi moja moja, Yanga wana Goli 1na pointi 1, Simba Goli 7 na point 3

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Kweli Ni Gongo wazi maana mbaya zaidi Timu iliyowahenyesha ni Punyeto Fc, ( Lipuli)

Sasa wakikutana na Sumba/azamu watachomoa?
 
Mwaka huu pelekeni barua FIFA mapema kidogo.
Yale mafuvu yenu pale Taifa hayapo Azam Complex
Mhenga wenu Okwi yako wapi
 
Sasa wana goli 2 kwa mechi 3 na pointi 5.
Yanga 0 Lipuli 0 point 1
Yanga 1 Njombe mji 0 point 3
Yanga 1 Majimaji 1 point 1

Bingwa mtetezi ameanza kazi kwa kasi.
 
Back
Top Bottom