Imetokea jana Arusha wakati wa mashindano ya wabunge wa Africa Mashariki yakiendelea .
Vurugu ilitokea Kati ya mechi ya Wabunge wa Uganda vs Tanzania . Wabunge wa Uganda hawakuridhishwa na mwamuzi huyo ndipo walipoanza kumpa kipondo ,alipoona anazidiwa akaamua kukimbia huku akifukuzwa nyuma na kupopolewa mawe na hatimaye alitokomea huko ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo.
Mechi ilivunjika na itapangwa rasmi ili imaliziwe dk 30 iliyosalia.