Mechi wabunge wa Africa Mashariki refa achezea kipondo

Mechi wabunge wa Africa Mashariki refa achezea kipondo

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Imetokea jana Arusha wakati wa mashindano ya wabunge wa Africa Mashariki yakiendelea .

Vurugu ilitokea Kati ya mechi ya Wabunge wa Uganda vs Tanzania . Wabunge wa Uganda hawakuridhishwa na mwamuzi huyo ndipo walipoanza kumpa kipondo ,alipoona anazidiwa akaamua kukimbia huku akifukuzwa nyuma na kupopolewa mawe na hatimaye alitokomea huko ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo.

Mechi ilivunjika na itapangwa rasmi ili imaliziwe dk 30 iliyosalia.
 
Na wenyewe ni kama viroboto vs wahuniiiii wapolooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Safi sana marefa wa mchongo ni kichapo tu ndo kinawafaa.
 
Back
Top Bottom