Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nimeangalia hii mechi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo, haiingii akilini kuambiwa wale ni wachezaji walionunuliwa kwa mabilioni ya pesa. Hivi kwa mpira wa jana kuna tofauti gani kati ya ya yule Mahmoud Kahraba na Clement Mzinze.
Waarabu wanapiga pasi zisizokua na maana, wanabutua butua na kukosa magoli ya wazi ila sasa walivyofungwa wakajua mechi ikiisha ivyo ivyo wanatolewa, nafasi ya kwanza tu waliyopata baada ya kufungwa wakaipeleka nyavuni halafu wakarudi kucheza mpira ule ule wa mwanzo. Pasi zisizokua na maana, kubutuabutua na kukosa goli za wazi.
Hii mechi matokeo yalipangwa. Najua Simba watakuja kutapika hapa, sina hofu nao maana Rage alishawaelezea kwa kifupi na usahihi kabisa.