Mechi ya Al Rabita vs Namungo yafutwa

Kwa hiyo πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Hivi TFF mmekosa weledi Hadi kuleta habari ya kuning'nia kwa kueano hiki!
 
Mechi imefutwa na Namungo anasonga mbele
 
Hivi TFF mmekosa weledi Hadi kuleta habari ya kuning'nia kwa kueano hiki!
Yan habar inang'inia kama kiwiliwili
Sijui tff Kaz Yao nn kabsa yani huyo afisa
Habar wao n bora kumekucha
 
CAF wameifuta mechi tu. Hadi wakikaa kikao chao cha maamuzi ndio wataamua kama Namungo imepita ama la.

Ingekuwa ni ile tume yetu ya NEC ndio itafanya maamuzi tungetabiri tu maamuzi kwa kusema 'Namungo imepita bila kupingwa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…