Habari wakuu, Leo uwanja wa Taifa kabla ya mechi ya Yanga na Mbeya city kulikuwa na mechi ya amani, ukiachilia mpira, ni mechi iliyokuwa inaburudisha kiana yake wakigombania Amani cup Tanzania ukizingatia umri wa wachezaji wengi.
Pamoja na michezo, mechi inatoa ujumbe muhimu wa kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu, matokeo yalihitimishwa kwa matuta na timu ya mabalozi imefanikiwa kutwaa kikombe kwa kushinda penati 3 dhidi ya mbili za viongozi wa dini.