Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

Live from chamaz,mpira umesitishwa,kutokana na sheria ambayo hairuhusu mchezo kuendelea iwapo,wachezaji watapungua saba...ingawa fei toto kapewa mpira wake..sasa sjui imekuaje???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]poor poor poor kwa TFF
TFF wanakosa gani sasa?
 
TFF Washikilie hapohapo, timu zijifunze kufanya mambo mapema. Mechi haiwezi kupelekwa mbele kwa uzembe wa timu moja. Walikua na muda mwingi sana kujiandaa lakini wakazembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…