Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,295
- 2,973
Dakika 84 Hawa jamaa wamemvimbia singinda mpaka saivi,kumbe sio wepesi, Azam angeweza kufugwa au kudroo nao, Ile mechi irudiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wamechana mikeka ya watu wengi aisee,Dakika 84 Hawa jamaa wamemvimbia singinda mpaka saivi,kumbe sio wepesi,Azam angeweza kufugwa au kudroo nao,Ile mechi irudiwe
Kweli aiseeNa wamechana mikeka ya watu wengi aisee,
Singida wenyewe wana uzuri gani, mbona hata prisons aliwavimbia vizuri tu lakini wakaenda kufa 3 kwa Azam tena kibwege tuDakika 84 Hawa jamaa wamemvimbia singinda mpaka saivi,kumbe sio wepesi, Azam angeweza kufugwa au kudroo nao, Ile mechi irudiwe
Anaongoza ligi ,kwa magoli ya mchongo,ndio maana hajaitwandiyo linakuja insu ya fei toto kuitwa TIMU YA TAIFA
Mechi imeishaje mkuu.?Anaongoza ligi ,kwa magoli ya mchongo,ndio maana hajaitwa