Mechi ya Bamako na Monastir ni saa ngapi na kupitia channel ipi?

Mechi ya Bamako na Monastir ni saa ngapi na kupitia channel ipi?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Mwenye kujua anisaidie maana naona muda unaenda na sioni dalili ya hii mechi kuonyeshwa.

Mwenye majibu tafadhali.
 
Me nimecheki matokeo tu online, Dstv hawaoneshi hii,but wanaonesha game ingine.Sijajua Azam huko ZBC2


Kwa kifurushi nilichonacho lakini
 
Back
Top Bottom