Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

messi atapiga goli mbili takatifu huku neymer akiweka kimiani goli moja lililojaa ufundi wa kutosha na kuisisimua jumuiya ya wapenda soka duniani. Goli la Neymer litatokana na pasi bora kabisa kutoka kwa fundi wa mpira duniani yaani messi. Goli la kwanza ambalo litafungwa na Messi katika dakika ya kumi na sita litatokana na pasi nzuri kutoka kwa suarez ambaye atafanya maajabu mengi sana uwanjani ambayo ni nadra kuyashuhudia katika kizazi, hakika itakuwa gumzo kubwa duniani. Dakika tatu kabla ya kipindi cha kwanza kuisha fundi Iniesta atapiga pasi ndefu kutoka katikati ya uwanja na pasi hiyo itamfikia Messi ambapo atafanya manyanga pale na kiwatoka mabeki takriban watatu na kutupia wavun goli moja la ukweli sana. kwa upande wa juve watacheza jihad na kubahatika kupata goli moja ambalo halitaeleweka limefungwaje maana itakuwa ni butua butua tu hamna ubunifu, ufundi wala umaridadi wowote, hiyo ni katika dakika ya themanini na mbili ya mchezo. Hivi ndivyo itakavyokuwa.
 
kwanza wale wa kubet angalien merdian kuna ela ya kutoshaaa
 

cc PNC 1 na Mourinho
 
Last edited by a moderator:
sina la kuongeza mkuu kila kitu umemaliza
 
daaaah yaani hata sijui niseme nini, mi nitakuwa msomaji tuu.
 
malaika wa soka duniani......mess,neymer na shuarez ni shida kwa bibi kizee
 
i actually think its an interesting game.
~staili ya uchezaji ya suarez somehow inaendana na tevez both close down, aggressive and high work rates across the front.

~pogba, marchisio vidal ni moja kati ya mid bora na ngumu ulaya kwa sasa bila kumsahau pirlo.

~naamini kikosi hiki kinafanana sana na kile cha bayern nusu fainali (bila roben & ribery) but this squad is probably a better team unit.

sidhani kama kutakua na goli nyingi kama wengi mfikiliavyo, binafsi naamini kutakua na goli moja au 2-1 lakn sio handcap,
finals are often cagey affairs, unakumbukua chelsea ilivochukua uefa yake?? ilikutana na barca + munich zote timu ngumu kupaki basi kuliwasaidia wakati kwenye ligi walimaliza nafasi ya 6, so lets wait, isitoshe barca huwa ana suffer sana kwa timu zinazopaki basi.
my prediction game itaenda dak 120 barca atatolewa kwa penalt
 
i actually think its an interesting game.

~pogba, marchisio vidal ni moja kati ya mid bora na ngumu ulaya kwa sasa bila kumsahau pirlo.

this squad is probably a better team unit.

Ditto. Juve are a team.
 
sina la kuongeza mkuu kila kitu umemaliza

hahahaha hawa watu hadi nawaonea hiruma, hivi kwanini wanajitesa kwa kushabikia timu ambayo kwa namna yoyote ile haiwezi kushinda? Hivi kweli kabisa mtu unaishabikia juve na kuiacha barca?
 

nope. not the current "direct" Barca.

in Messi, Neymar and Suarez you have 2.5 skilful forwards who can take on defences - at will I must add. Barca unayoisema ni ile ambayo defenders walikuwa wakim-crowd out Messi basi hakukuwepo plan B for Barca.

lakini kwa Barca hii ya sasa...a crowded out Messi has got an option to ping a killer pass to either of the duo and that becomes that.

oh, I nearly forgot...it's a Chiellini-less Juve by the way!

a comfortable 2-0 win for Barca for me.
 

Mate hapa umeongelea kuufavor mchepuko wako zaidi.......lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…