Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mate hapa umeongelea kuufavor mchepuko wako zaidi.......lol

hapana mate!! watu wanaichukulia kizembe juve, but hyo ni ngumu sana, unakumbuka game yenu na celta vigo? waliwakazia dk 76 methiew akaamua MSN haikuonekana, malaga first round unakumbuka? let's wait utaniambia
 
Mechi itakuwa nyepesi kwa barca haswa ukizingatia kuwa watacheza mchezo wao wakukaa na mpira muda mrefu nakutumia kupenya katikati...juve wanafungika kwa urahisi kwa mapigo hayo na siyo kutumia cross....
 
Siamini ninachokiona!!! Mwana Bernabeau wa kwanza kwa siku ya leo kutabiri mema kwa Barca....na iwe kama ulivyonena ,UCL ije Spain.
 
Siamini ninachokiona!!! Mwana Bernabeau wa kwanza kwa siku ya leo kutabiri mema kwa Barca....na iwe kama ulivyonena ,UCL ije Spain.

Teehe teehe siamini ninachokiona mwana Nou camp anayesubiri kombe..... Na isiwe hivyo maana mchepuko ukishinda utakua umekudhalilisha
 
cc. M-mbabe
barca will be massive favourites, but there are some +ve for juve

~barca play without a 10, so pirlo/pyereira might be able to get free to hit a long ball or 2 over the top,

~barca lack a major aerial threat, so sitting deep against them might work okay,

~Alves doesn't burst foward anymore, so pogba can focus on messi coming inside and on the counter he can burn alves.

Altenatively:

pogba could play as the 10 and vidal or marchisio could play LCM and they have intelligence to make it harder for messi when he looks to come inside and hit thru ball,

~morata and Llorente are those bigger than mascherano,

~chiellini being out, barzagli will play instead of him, doesnt change anything
 
Last edited by a moderator:
Siamini ninachokiona!!! Mwana Bernabeau wa kwanza kwa siku ya leo kutabiri mema kwa Barca....na iwe kama ulivyonena ,UCL ije Spain.

Hahahahhahahahha....unajua roho mbaya haijengi,me napenda kuzungumza ukwel wa kile ninachokiona....nawapa 99% barca kushinda kwa sababu ya umakini,speed ya foward line yao...lakini pia ni kwa sababu ya mfumo ambao naamini watautumia...juve kushinda ni maajabu kuliko ukweli
 
Sina la kuongezea zaidi ya kusema asante na Amen.....
 
Mkuu mjukuum editing post yako inahusika zaidi

Yaani nilikuwa najiona mi.naipendaaaaaaaa barcelona lkn kwa post na coment hizi mi bado sana ila wote tutafurahi sn kama andunje atafunga hiyo ksh
 
Last edited by a moderator:
Teehe teehe siamini ninachokiona mwana Nou camp anayesubiri kombe..... Na isiwe hivyo maana mchepuko ukishinda utakua umekudhalilisha

Ah!!!! Wapi mtani tafadhali huu ni mwaka wangu wa kucheka kila upande kubali tu huu ulikuwa msimu wako wa kulia kila upande...... Hapana siwezi zinguliwa mpaka nitamani kumwadithia hubby!!!.... Ndoo hiyo inakuja Spain
 
hapana mate!! watu wanaichukulia kizembe juve, but hyo ni ngumu sana, unakumbuka game yenu na celta vigo? waliwakazia dk 76 methiew akaamua MSN haikuonekana, malaga first round unakumbuka? let's wait utaniambia

Hii si mechi ya kizembe ni ya machozi, jasho na damu labda waamue tu kucheza a boring football sema Juve ni wazuri kwa kugeuza mpira na kufanya uchezwe katika style wanayoitaka wao Barca wakikubali tu kucheza game yao baasi kupona ni bahati
 
the threat from the Barca front 3 will force Pirlo & co to play more defensively which will suit Barca - they will boss the centre of the pitch which, naturally, will cut the supply line to the Juve's strikeforce, nullifying their attacking threat.

one mistake Juve will make is to entrust Pogba on Messi...that'll be suicidal but am sure they won't do that! on his current form, Messi needs to be manned by a defensive personality or rather a collection of defenders. we all saw what he recently did to Boateng (Bayern) plus the way he singlehandedly destroyed the entire "village of defenders" vs Bilbao last Saturday.

one more thing...don't forget Barca's threat doesn't originate from Messi alone. you have a Neymar. an Iniesta. needless to mention the dracula (Suarez) himself!
 
Last edited by a moderator:
duh!!!! mkuu rekebisha acha haraka za kuandika inaonyesha mwalimu wako ulikua unampa shida sana

Kwangu wanaopata shida ni wale wanaotaka kujifunza kitu kwangu bila kuomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…