Mechi ya Brazil vs Argentina inakaribia kutochezwa baada ya mashabiki wa Brazil kuanzisha vurugu

Mechi ya Brazil vs Argentina inakaribia kutochezwa baada ya mashabiki wa Brazil kuanzisha vurugu

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Baada tu wachezaji kuingia uwanjani mashabiki wa Brazil walianza kuwarushia vitu mashabiki wa Argentina, ndipo vurumai kubwa lilipotokea.

Wachezaji wa Argentina wakiongozwa na nahodha wao Lionel Mesi wamerudi vyumba vya kubadilishia jezi na hawajatoka mpaka sasa.




20231122_034639.jpg


20231122_034642.jpg



 
Soka la America ya Kusini Lina wahuni wengi mno sio mashabiki Wala wachezaji
 
Messi anendelea kuumaliza mwendo huku bado akiendelea kutafuta Bao lake la kwanza dhidi ya Brazil katika officially games.
 
Brazil ni timu nzuri ila naona kama vile wameogopa kupigwa na Argentina.
 
Back
Top Bottom