Mechi ya Coast vs Mashujaa refa alikuwa kiongozi wa kupoteza muda

Mechi ya Coast vs Mashujaa refa alikuwa kiongozi wa kupoteza muda

Black jew

Senior Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
121
Reaction score
222
Mechi ya hiy tajwa inaonesha bado tunasafar ndefu ya kumakiza tatizo la mpira uchweze zaid na kupunguza kusimama bila sababu na mech ya leo mwamazi aliongoza hiloo.

Kil ikitokea faul alikuwa anachukua muda mrefu kutoa maelezo mengi na kupoza mpira na kama kungekuwa na stop watch bas mpira umechezwa dakika 50 tu.
 
Timu ya Msomali wa TFF....huwezi jua maelekezo waliyopewa hao 3malogo..!!!

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Sio match hiyo pekee,bali match zote za Ligi hazichezwi dakika 90. Utakuta mpira umesimama almost dakika kumi kwa match nzima then zinaongezwa dakika 4 na hata hizo zenyewe hazikamiliki. Kwasasa nawakubali sana Waarabu ukipoteza muda dakika 15 kama added time zinakuhusu.
 
Hili swala la mda TFF walifanyie kazi muda uendane na dakika zilizopotezwa. na dakika zilizopotezwa ziwe sawa ili jumla ya dakika na dakika zilizopotezwa na dakika za nyongeza zitimie 90.

najua hawatanielewa.
 
Back
Top Bottom