pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Mashabiki na wapenzi wa Simba sports club
Mechi ya Derby ya tarehe 8, sisi tunaingia kama underdog, tunaona kila mahali utopolo wanajitapa, Wana matokeo mfukoni tayari, tunasikia wengine wako mitaani wanazurura na kufuturisha, wanaiona Simba kama timu ya daraja la 2
Kuna kafara lao la kila kuelekea derby hua wanalifanya, limeshafanyika la kutembelea watoto mayatima na walioa na matatizo maalumu, (maelekezo ya mganga wa pangani)
Sisi simba sports club tunamuamini Mungu, tunamuamini Allah subbnallah tarehe 8 ifike tutajua Mungu na waganga wa pangani nani ana nguvu.